TANZAGO

Kutokana na tangazo lililotolewa na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa VYUO VYOTE vitafunguliwa mwezi Juni 2020,

TUNAPENDA KUWATANGAZIA

wanachuo wote kuwa wanapaswa kufika Chuoni tarehe 01 Juni 2020 bila kuchelewa.

Ili waweze kupokelewa chuoni lazima uwe umelipa ada yako kinyume na hapo hutapokelewa.

Ahsante