Kwa wahitimu wa stashahada ya miaka mitata (Pre-Service Diploma) 2016-2019 VIETY VYA NACTE VIMETOKA .
Mnaweza kufika Chuoni kuchukua kuanzia tarehe 01/07 hadi tarehe 30/07/2020.
Baada ya hapa utalazimika kulipa gharama za kutunza cheti kwa mujibu wa taratibu za Chuo.
Asante