Mkuu wa chuo wa sayansi ya afya na afya shirikishi cha mt. Gaspari anawatangazia watanzania wote, wazazi/ walezi na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne au cha sita nafasi za masomo ya utabibu (diploma in Clinical Medicine) yanayo tarajiwa kuanza mwezi march, 2021. Mafunzo haya ni ya miaka mitatu (3).

Waombaji watume maonbi yao moja kwa moja kwenye barua pepe:
-principal.college@stgasparhospital.org
stgasparnursingschool@gmail.com
info.college@stgasparhospital.org 

au moja kwa moja kwa mdahili wa chuo katika ofisi za chuo.

Kwa malezo zaidi ingia kwenye tovuto (website) ya chuo au piga simu namba 0754285808 | 0784 525478 | 0763 897135

NYOTE  MNAKARIBISHWA

Mkuu wa Chuo