Vyeti vya NACTE vimetoka

Vyeti vya NACTE vimetoka

Kwa wahitimu wa stashahada ya miaka mitata (Pre-Service Diploma) 2016-2019 VIETY VYA NACTE VIMETOKA . Mnaweza kufika Chuoni kuchukua kuanzia tarehe 01/07 hadi tarehe 30/07/2020. Baada ya hapa utalazimika kulipa gharama za kutunza cheti kwa mujibu wa taratibu za Chuo....
TANZAGO – Chuo cha Uuguzu cha Mt. Gaspari

TANZAGO – Chuo cha Uuguzu cha Mt. Gaspari

TANZAGO Kutokana na tangazo lililotolewa na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa VYUO VYOTE vitafunguliwa mwezi Juni 2020, TUNAPENDA KUWATANGAZIA wanachuo wote kuwa wanapaswa kufika Chuoni tarehe 01 Juni 2020 bila kuchelewa. Ili waweze kupokelewa...
Tuzo mpya kwa st. Gaspar Hospital

Tuzo mpya kwa st. Gaspar Hospital

Mnamo Desemba 17, nchini Tanzania, Wiki ya Kitaifa ya Afya na Mazingira vilimalizika. Mada ya mwaka huu ilikuwa “Utunzaji wa afya na afya ya mazingira ni kichocheo muhimu kwa ukuaji endelevu wa uchumi”. Mbele ya Waziri Mkuu, maafisa wa afya wa kikanda na...