Endoscopy
Mageuzi ya maarifa
Mganga: dr. Seif Nuru
TUNACHOKIFANYA
HUDUMA ZETU
ESOPHAGRAM STROBOSCOPY
FOREIGN BODIES REMOVAL
BRONCHOSCOPY
ENDOSCOPY
ESOPHAGEAL DILATION
RUBBER BAND LIGATION
ESOPHAGOSCOPY
COLONOSCOPY
LARYNGEAL STROBOSCOPY
EXPLORATORY ENDOSCOPY
Kitengo
Kitengo cha endoscopy kilianzishwa mwaka 2018 na sasa ni moja ya sababu za wagonjwa wengi katika hospitali yetu.
Wagonjwa wetu hupata vipimo vya bronchoscopy, esophagram stroboscopy, laryngeal stroboscopy, esophagoscopy, colonoscopy, esophageal dilation na pia kutolewa vitu vilivyokwama katika matundu ya mwili (foreign bodies removal) kwa mfano puani, masikioni na njia ya hewa (hii hasa kwa watoto wadogo).
Wafanyakazi
Wafanyakazi wa kitengo cha endoscopy wamepata mafunzo maalum katika taaluma hii na katika uwanja mpana wa upasuaji. Wauguzi pia wamepata mafunzo ya kina katika utunzaji wa vyombo vinavyotumika katika huduma hii.
Masaa ya kufungua
Siku zote za kazi 24/7, huduma ya vipimo vya endoscopy inapatikana kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, saa 8.30 asubuhi mpaka saa 3:30 alasiri. Jumatano na Alhamisi ni siku za upasuaji.
Mawasiliano
mahali
St. Gaspar Referral Hospital
P.O. Box 12 – Itigi (Singida)
Tanzania