Muundo wa uongozi
Hospitali ya rufaa ya Mt. Gaspari ni kubwa kiuhalisia nchini Tanzania, kituo kikuu katika eneo la Itigi.
Hospitali hupata ushirikiano kati ya watumishi mia moja katika masuala mbalimbali.
Mkurugenzi mkuu mara zote huwakilishwa na mmisionari wa shirika la Damu Azizi, shirika la kimataifa ambalo limejenga na kutunza hospitali yote.
MKURUGENZI: Fr. Seraphine Lesiriam, C.PP.S.
MGANGA WA AFYA: Dr.Anatole D. Rukonge
MATRONI: Nr. Zena S. Sumbe
WAKALA: Idagiovana W. Saanane
MKUU WA KITENGO CHA MAPOKEZI NA MAHESABU: Maria J. Tamba
Kazi kubwa
Hospitali kubwa kwa huduma bora
Kazi zinazo endelea
Tumepata mafanikio makubwa katino hospitali yetu, na baado tunaendelea kuboresha zaidi.
Wataalamu na watumishi
Mafunzo kwa watumishi, na uwepo wa wagonjwa na magonjwa mbalimbali huifanya hospitali yetu kama kituo cha mafunzo.
mahali
St. Gaspar Referral Hospital
P.O. 12 – Itigi (Singida)
info@stgasparhospital.org
nambari ya simu
(+255) 262540193
(+255) 755454040