saidia kwa kutoa mchango wako
Mambo yote tunayofanya yanawezekana kwa kupitia mchango wako!
Hospitali ya Mt. Gaspari inakuitaji wewe pia
Watumishi, mahitaji ya kila siku, dawa na matibabu mbalimbali: hatuwezi kufanya bila wewe. Saidia utume wetu.
dawa
watumishi
ukarabati
Tusaidie!
Unaweza kutoa mchango wako kupitia account ya Hospitali.
Jina: St. Gaspar Hospital
Nambari ya account: 5191910001255
Banki: NMB Bank – Itigi
AU
Jina: Society of the Precious Blood
Nambari ya account: 01J1049291400
Banki: CRDB Bank – Manyoni
mahali
St. Gaspar Referral Hospital
P.O. 12 – Itigi (Singida)
info@stgasparhospital.org
nambari ya simu
(+255) 262540193
(+255) 755454040